crypto

The International Association for Cryptologic Research (IACR) is a non-profit scientific organization that furthers research in cryptology and related fields. The IACR was organized at the initiative of David Chaum at the CRYPTO '82 conference.

View More On Wikipedia.org
  1. Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  2. Account ya Mohamed Dewji haikuwa hacked "haikudukuliwa" ? ila kalipwa kuwadanganya na kuwaingiza mkenge watanzania, Crypto scam.

    Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema. Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake...
  3. Ross Ulbricht wa Silk Road sasa yupo huru baada ya miaka 11 gerezani!

    Asante, Donald J. Trump! Rais Trump ametimiza ahadi ya kampeni kwa wafuasi wa chama cha Libertarian katika siku yake ya pili ya kurejea ofisini kwa kumsamehe muundaji na mmiliki wa tovuti ya biashara ya kielektroniki "Silk Road" inayojulikana kwa ulanguzi wa dawa za kulevya. Ross Ulbricht...
  4. Kwanini Cold Wallet ni Muhimu kwa Usalama wa Crypto??

    Katika mji wa kisasa wa Nairobi, Anna, msichana mwenye bidii na mpenzi wa teknolojia, aliingia rasmi kwenye ulimwengu wa sarafu za kidijitali unaojulikana kama cryptocurrency. Alikuwa amesikia hadithi nyingi za watu waliofanikiwa kwa kutumia Bitcoin na alihamasishwa na uhuru uliokuja na...
  5. Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
  6. Bybit Kuzindua Islamic Account inayofuata Shariah

    Ni mwendelezo sasa mzuri sana Kwa CeX exchange au Centralized Exchange kama bybit kuwapa uhuru baadhi ya watumiaji wenye Imani zinazozingatia sharia fursa ya kuweza kutuma account zinazofuata misingi ya Imani zao. Sharia ambayo huamini kwenda kinyume kabisa na riba (interest), Maysir (gambling)...
  7. Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

    Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au wataalam wa teknolojia tu. Lakini ukweli ni kwamba, blockchain siyo tu kwa wenye pesa au magwiji wa...
  8. M

    Nimepoteza dola 500 kwenye crypto futures, ni mgeni kwenye tasnia hii, napataje mentor?

    Habarini! Mimi nawiwa sana kujaribu kitu hiki, ukizingatia kwa sasa kwamba dunia ni teknolojia, na teknolojia ndiyo dunia yenyewe. Mhe. Nape Nnauye alishaongelea hili suala akiwasihi vijana wa kitanzania na watu wazima kama mimi, wachangamkie fursa hii. Nimejaribu mara kadhaa ku trade futures...
  9. M

    Unamshauri nini 'beginner' wa crypto anayetafuta mentor?

    Habari! Sarafu mtandao, almaarufu cryptocurrency, ni aina ya teknolojia mtandao inayokua kwa kasi ya ajabu. Hii imevutia wengi wa vijana kuvutiwa nayo na hivyo kutafuta wafundishaji, yaani mentors, ili wawafundishe namna ya kunufaika na teknolojia hii kupitia TRADING. Visa vya utapeli vimekuwa...
  10. Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida. Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200. Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
  11. Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida. Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200. Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
  12. Uwakala wa crypto una faida kubwa na huduma zisizohitaji ofisi

    Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021. Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye nchi yetu ilikuwa changamoto hata wengine ilifikia pesa zao kuzuiwa na benki nyingi au kuletewa...
  13. Nahitaji kuchukua mkopo wa miaka minne niwekeze kwenye cryptocurrency

    Habari zenu wanajamvi, Mm ni mmojawapo wa watumiaji na wawekezaji wa sarafu za mtandao (cryptocurrency) pia ni mwajiliwa wa taasisi fulani, katika kipindi hiki cha bullish naona sarafu zinapanda sana na mimi sina mtaji wa kununulia. Ila nilikuwa nina wazo moja nahitaji nikachukue nkopo wa...
  14. Je, Forex, Crypto na utapeli mwingine wa uwekezaji hufanyaje kazi? Unapaswa kufanya nini ikiwa umetapeliwa?

    Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika mazingira mengi, huwa zinafanana kwa kiasi fulani. Unaweza kuepuka miradi mingi ya ulaghai ikiwa...
  15. Chapa ya Mpinga Kristo nyuma ya Worldcoin na Crypto currency, AI robot

    Kabla sijaenda kwenye lengo kuu la mada hii nielezee kwanza Worldcoin ni nini ? Cypto/Cryptocurrency ni nini ? na mahusiano yake na AI robot. Baadhi ya member wa JF nimeona wakigusia mada hii kwa sehemu ndogo.. Worldcoin ni nini? Worldcoin ni jukwaa la utambuzi wa kidijitali ambalo linalenga...
  16. Free Crypto Coin Mining Apps

    Bila shaka Neno crypto currency sio geni, miongoni mwetu coin maarufu ya BITCOIN ilianza mwaka 2009 ukiwa na thamani ya kutupwa lakini bada ya miaka kidogo ilifikia Hadi thamani ya $67,000. Dunia inaelekea huko hata hapa Kwetu TZ kuna fununu za miongozo kuandaliwa. Pia kuna wanadau Tayari...
  17. U

    Ni kampuni gani nzuri ninayoweza kujifunza masuala ya crypto, kununua na kuuza kwa uhakika?

    Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency. Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni linalijihusisha na masuala ya kuuza na kununua crypto lakini pia utaweza kujifunza mengi zaidi. Ukiwa na...
  18. Artificial Intelligence (AI) projects in the crypto!!!!

    The rumor that AI could dramatically change the market in all sectors has intensified thanks to the popularity of OpenAI and applications such as ChatGPT. This trend has also spread to the crypto industry, which has seen a surge in the price of tokens associated with AI projects. ➡️Alex...
  19. BoT kuanzisha mfumo wa Crypto Currency

    Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa ya muelekeo wa kuanzisha mfumo wa pesa za kidigitali Yani Crypto Currency. Fedha hizo zitatolewa tu na benki Kuu na sio chanzo kingine. Benki Kuu tayari imeshakaa na mabenki yote Tanzania na kuangalia namna Bora ya kuendesha mfumo wa fedha hizo. Fedha hizo...
  20. Crypto na ahadi ambayo haijatimia

    NB: Uzi ni mrefu, kinoma 👽 Uchumi wa dunia umekuwa ukidorora kwa miezi (Kama sio kwa miaka) kadhaa sasa, na mdororo huo umeathiri pia thamani ya cryptocurrencies kwa kiwango cha kutisha. Watu wamepoteza mabilioni ndani ya muda mfupi, kiasi ambacho wengine wamechukua maamuzi magumu ya kujiondoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…