cs constantine

Club Sportif Constantinois (Arabic: النادي الرياضي القسنطيني), also known as CS Constantine or simply CSC for short, is an Algerian football club based in Constantine, Algeria. The club was founded in 1898, and its colours are green and black. Their home stadium, Chahid Hamlaoui Stadium, has a capacity of 22,968 spectators. The club is currently playing in the Algerian Ligue Professionnelle 1.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Africa, Simba SC leo wataingia uwanjani kupambana na CS Constantine kutokea Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi Mechi hiyo ni muhimu kwa timu zote mbili kwani ndio itakayoamua nani ataongoza kundi lao. CS Constantine wapo nafasi ya...
  2. Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

    Bravos do Maquis 2 - 0 Constantine | CAF Confederation Mchezo unaendelea dakika ya 24 Bravos anaongoza goli 2-0
  3. Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

    Match Day , shirikisho Vikosi vya leo Simba Constantine MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania kipindi cha kwanza kimeanza 2' Constantine 0-0 Simba 24' GOOOAL M Hussein anafunga goli Cs Constantine 0-1 Simba 29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji...
  4. Nyota 22 Simba kuifuata CS Constantine Algeria, CAFCC

    Kikosi cha Simba kitasafiri Alfajiri ya December 5, 2024 kwenda Algeria ambapo itacheza mchezo wa pili hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine. Kikosi kitaondoka na nyota 22 kuzisaka pointi tatu nyingine kwenye Uwanja wa Mohamed Halaoui Desemba 8 kuanzia saa 1:00...
  5. Simba SC kuondoka nchini Jumatano kwenda Algeria kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine

    Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza kuhusu safari hiyo, Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa...
  6. Tetesi: Kocha Kheireddine Madoui wa CS Constantine kuchukua Mikoba ya Gamondi Jangwani

    Klabu ya Yanga inadaiwa kuwa katika hatua ya mwisho kumtema kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi na tayari imeanza mchakato wa kumnasa kocha kutoka Algeria, Kheireddine Madoui wa CS Constantine ambao ni wapinzani wa Simba katika michuano ya CAF msimu huu. Yanga inamtaka kocha huyo aliyewahi...
  7. Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika

    Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine. 1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…