1. Jean Charles Ahoua hana hadhi ya kuichezea Simba, dirisha dogo timu itafute playmaker mwingine
2. Upangaji wa kikosi umeendelea kuwa tatizo kwa kocha wa Simba, kuwaanzisha kwa pamoja mabeki wa kati watatu kuliwapunguzia umakini katika kutimiza majukumu yao.
3. Timu imecheza vizuri zaidi...