css

  1. A

    Baada ya kutengeneza website kwa kutumia HTML na CSS , nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni?

    Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
  2. Wong Fei

    Msaada: Namna ya kuweka full width CSS, Related posts display na Post Navigation display kwenye blogger

    Thread closed
  3. M

    Natafuta Mtu wa kuniongoza Kwenye Front End (Web Developer)

    Niaje Wadau? Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide
  4. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Back
Top Bottom