ct scan

  1. A

    DOKEZO Mashine ya CT Scan Hospitali ya Mloganzila ni Mbovu kwa zaidi ya Miezi mitatu sasa, tatizo nini?

    Naandika nikiwa na huzuni sana hapa najiuliza ni uzembe wa Serikali au Uongozi wa Hospitali ya Mloganzila ulio chini ya Profesa Janabi au Dr Magandi... Mwaka jana 2024 nilikuja na mgonjwa wangu akihitaji huduma ya CT Scan lakini cha kushangaza nikaambiwa huduma haipatikani hapa mpaka Muhimbili...
  2. T

    Nini tofauti kati ya X-Ray, CT Scan, MRI, na zaidi

    ? 1) X-rays hutumia mionzi ya umeme kutoa picha za mifupa na miundo mikavu ndani ya mwili. Kawaida hutumiwa kugundua mavunjo, maambukizo, vimbe, na matatizo mengine. X-rays ni za haraka, bei nafuu, na zinapatikana kwa urahisi. 2) CT scans hutumia X-rays pamoja na usindikaji wa kompyuta wa hali...
  3. Roving Journalist

    Je, CT Scan ya Figo ina madhara? Kuna idadi maalum ya kufanya CT Scan? Majibu yapo hapa

    JamiiForums iliwasiliana na Dkt. Hellen Makwani, Daktari Bingwa wa Saratani na Tiba Shufaa, ili kufafanua kwa undani madhara yanayoweza kusababishwa na CT scan, baada ya mtumiaji wa jukwaa kuuliza kuhusu athari za CT scan ya Figo - CT scan ya Figo ina madhara? Mtaalamu wetu alijikita katika...
  4. M

    CT scan ya Figo ina madhara?

    Je, kuna madhara yoyote kufanya CT scan ya Figo kuangalia kama Figo zina mawe au lah?
  5. Determinantor

    Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

    Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa...
  6. pirate

    Msaada: Dawa ya nyama za pua

    Wakuu habari za Asubuhi, Natumaini wote mko wazima! Naomba mtu anefahamu Dawa au Suluhisho la tiba za Nyama za Puani kwasababu mwanzoni niliambiwa ni Surgery na nilifanya mwaka jana mwezi wa Tatu, lakini baada ya Miezi mitatu Tena tatizo likarudi nikaenda kucheki hospital kwa kufanya X-ray,CT...
Back
Top Bottom