Habari za uzima wana Jamii wenzangu,
Naomba kufahamu namna ya uwaandishi wa Cv (Curriculum Vitae) hasa kuhusisha projects mbali mbali nilizofanya na company tofauti tofauti je, ni sahihi kuandika project zote nilizofanya katika CV yangu?
Na hofu ya kutengeneza kitabu ambacho kinaweza kikiawa...