customer service

  1. M

    Natafuta kazi ya cashier or customer service nipo jijini Dar es salaam

    Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  2. M

    Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
  3. Grand Canyon

    Hongereni CRDB Bank kwa customer service

    Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅. Yaani desemba 25 wako kazini. Big up.
  4. realMamy

    Vitu gani vya kuzingatia ili kujiandaa vyema na usaili wa Information Officer na Customer Service?

    Vitu gani vya kuzingatia ili kujiandaa vyema na usaili wa 'Information Officer' na 'Customer Service? Kama inavyojieleza hapo juu. Msaada please.
  5. A

    KERO Huduma kwa wateja UTT Amis ni mbovu, simu zinakatwa au hazipokelewi kabisa na kwenye mitandao ya kijamii hawajibu

    Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis? Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi...
Back
Top Bottom