Wakuu,
1. MBUNGE WA BUKOMBE - Dotto Biteko
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Ubunge: Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Bukombe mkoani Geita mwaka 2015 na alishinda kwa kura 71,640 dhidi ya 11,433 za mpinzani wake.
Wadhifa wa Kiserikali: Aliteuliwa kuwa Waziri wa Madini mwaka 2019 na alihudumu hadi...