cybercrime

  1. Kamanda Asiyechoka

    Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

    Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Sh5 milioni au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 4...
  2. Jo Assistant

    What You Need To Know About Cybercrime

    To Tanzanian Banks, financial institutions and firms, public and private institutions, and all government authorities: "There are four big threats to the world and to the human race. One of them we've just experienced, that's the pandemic. Then you've got weapons of mass destruction. You've got...
  3. n00b

    Uhispania Yawakamata Wadukuzi 40 katika Msako dhidi ya Genge lao

    Mamlaka za Uhispania wiki hii zilitangaza kukamatwa kwa watu 40 kwa kujihusisha kwao katika genge la uhalifu lililofanya ulaghai wa benki, kughushi nyaraka, wizi wa utambulisho na utakatishaji fedha. Wawili kati ya watu hao, mamlaka inasema, walikuwa na jukumu la kutekeleza ulaghai wa benki...
  4. USSR

    IGP vunja Kitengo cha Cybercrime kabla Rais Samia hajakutumbua

    Hawa matapeli wa kopa faster ni hujuma au mpo nao na maisha nao? Je, nikitengo ndani ya jeshi la polisi? Kama sio je mnawafahamu? Mliwahi kuwasikia? Nimeuliza kwa kuwa licha ya Watanzania kulia sana na kutapeliwa na hawa watu hakuna hatua nyie kama polisi mliwahi kuchukua au kuwakamata na...
  5. Infantry Soldier

    Cybercrime Alert: Vijana watukutu, kuwavalisha barakoa bibi na bwana katika nembo ya taifa (Tanzania Coat of Arms) pia ni kosa la kimtandao. Usijaribu

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Bado sijaona mtanzania aliyefanya kitendo hiki lakini ninatoa tu tahadhari kwa ndugu zangu hawa wa Graphics Designing pamoja na wale wazee wa Photoshop. Kucheza na nembo za taifa sio jambo nzuri kupitia sanaa ya picha. Barakoa zilivuma sana...
  6. dunstech

    Fahamu usiyoyajua kuhusu Imei namba ya simu yako

    IMEI NUMBER NI NINI? IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet. Kwa simu zenye sim card...
  7. Dive

    ECONOMIC INTELLIGENCE-Bayer contains cyber attack it says bore Chinese hallmarks

    FRANKFURT- German drug maker Bayer has contained a cyber attack it believes was hatched in China, the company said, highlighting the risk of data theft and disruption faced by big business. Bayer found the infectious software on its computer networks early last year, covertly monitored and...
  8. RUCCI

    Donors Urge Jakaya Kikwete to act wisely on Cybercrime

    The European Union yesterday joined the Cybercrimes Act debate and urged President Jakaya Kikwete to listen to those who are opposed to the new law and decline to sign it. Speaking with The Citizen yesterday, EU Delegation Head Filiberto Sebregondi and Development Partners Chairperson Sinika...
Back
Top Bottom