Nikiwa ni kijana mdogo nasoma kijijini kwetu nilikuwa nikisikia habari kwamba mjini kuna wanawake wanajiuza, sikuweza kuelewa kulingana na mazingira niliyokuwa nikiishi, nilitamani siku moja niwaone nipate uhakika na kwa mara ya kwanza nimefika mjini ilikuwa jiji la mwanza nilimuomba mwenyeji...