Habari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,
Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine msaada wa kimawazo maana nahisi sio kawaida
Nisikuchoshe nipunguze maneno ni hivi kipindi nipo...