Mohammad Kassim ambaye ni Baba Mzazi, ametangaza kupotelewa na Watoto wake wawili ( wanaoonekana pichani ), ambao wamepotea jana jioni majira ya saa kumi na mbili maeneo ya Temeke Jijini Dar es salaam wakiwa na Dada wa Kazi.
Akizungumza Kassim amesema Dada huyo wa kazi ambaye jana ilikua ni...