Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.
Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft...
Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha.
Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau...
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na...
Heshima yenu! Wanajamii Jf!
Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!
Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
Nimepotezana nae mwaka 2015,
Na 2017 mumewe akafariki dunia kwa ajari ya pikipiki akiwa anaenda kazini.
Mumewe alikuwa anaitwa ADAM alikuwa mrefu mweupe alikuwa ni fundi wa vyombo vya moto.
Wakati napotezana nae alikuwa na watoto wawili wa kiume.
Mmoja alikuwa akiitwa RUBEN alikuwa na kama...
DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO
1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara...
Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu.
Mimi nikiwa kijana mwenye uzoefu mkubwa na haya mambo ya mapenzi kwa huu ukanda chini ya jangwa la...
TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA DADA YANGU HAKI HANYA (MRS. HAKI KILOMONI)
Haki mimi ni dada yangu.
Napata akili namuona Haki na marehemu dada yangu Mengi mashoga, wote wanasoma chuo cha Shariff Abdulrahman Mtaa wa Sukuma na Mafia. Hii ni katikati 1950s tunaishi Mtaa wa Kiungani na Sikukuu.
Siku...
Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa.
Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali.
Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka.
Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.
Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.
Akakataa akasema anataka aanze na...
Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama,
sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga
Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
Namuona kabisa dada angu sasa anamawazo sana, anamiaka 28 sasa, kila anaemfata hayuko serious au ni mume wa mtu, wapo wengine sema sasa dada anasema anakosa hisia nao kabisa, anaogopa kujilazimisha.
Alifikia hatua ya kutaka kupanga akakae mwenyewe, kitu ambacho baba na familia nzima...
Kwako Dada yangu na rafiki yangu humu JF especialy jukwaa letu pendwa la MMU.
Nimeamua kukuandikia huu ujumbe jukwaani badala ya kukutumia PM..
Rafiki yangu nilichokigundua ni kwamba unataka kupendwa, ndiyo maana moyo wako ni rahisi kupenda. Watu wengi huwa wanalipenda tu wazo la kupenda na...
Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study.
Mifano ipo mingi sana juu ya wanawake wasomi wa vyuoni kuwa wasumbufu kwenye ndoa ila wacha niweke kisa cha mtu naemjua kabisa wala si...
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.
Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.
Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali...
Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la.
Tukasalimiana na tukabadilishana na namba. Huyu binti alikuwa anafanya kwenye spa katika hoteli kubwa hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.