dada yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft...
  2. Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha. Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
  3. T

    Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

    Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
  4. Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

    Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%. Nyie vijana acheni dharau...
  5. Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa Daaah familia mzima tumepigwa na...
  6. Dada yangu hata kama anaku post

    My sister Haijalishi ni mara ngapi mwanaume wako anakuposti, Always lazima kuna yule mwanamke wake pembeni ambaye anaelewa kila kitu na ameridhika.
  7. B

    Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  8. Ndugu zangu naombeni mnisaidie nimepotezana na dada yangu kipenzi. Anaitwa JESCA au YOY

    Nimepotezana nae mwaka 2015, Na 2017 mumewe akafariki dunia kwa ajari ya pikipiki akiwa anaenda kazini. Mumewe alikuwa anaitwa ADAM alikuwa mrefu mweupe alikuwa ni fundi wa vyombo vya moto. Wakati napotezana nae alikuwa na watoto wawili wa kiume. Mmoja alikuwa akiitwa RUBEN alikuwa na kama...
  9. Kabla ya kukubali kuolewa soma hapa dada yangu ujiridhishe

    DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO 1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara...
  10. M

    Dada yangu ukipata mtu mnayependana usimvuruge akaenda, utajutia baadae

    Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu. Mimi nikiwa kijana mwenye uzoefu mkubwa na haya mambo ya mapenzi kwa huu ukanda chini ya jangwa la...
  11. Taazia: Ninavyomkumbuka Dada Yangu Haki Hanya (Haki Kilomoni)

    TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA DADA YANGU HAKI HANYA (MRS. HAKI KILOMONI) Haki mimi ni dada yangu. Napata akili namuona Haki na marehemu dada yangu Mengi mashoga, wote wanasoma chuo cha Shariff Abdulrahman Mtaa wa Sukuma na Mafia. Hii ni katikati 1950s tunaishi Mtaa wa Kiungani na Sikukuu. Siku...
  12. Dada yangu zingatia sana kuolewa liwe jambo lako la kwanza

    Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa. Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali. Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka. Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
  13. Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao. Ipo hivi; Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake. Akakataa akasema anataka aanze na...
  14. Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

    Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
  15. Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

    Namuona kabisa dada angu sasa anamawazo sana, anamiaka 28 sasa, kila anaemfata hayuko serious au ni mume wa mtu, wapo wengine sema sasa dada anasema anakosa hisia nao kabisa, anaogopa kujilazimisha. Alifikia hatua ya kutaka kupanga akakae mwenyewe, kitu ambacho baba na familia nzima...
  16. Kwako rafiki yangu na Dada yangu

    Kwako Dada yangu na rafiki yangu humu JF especialy jukwaa letu pendwa la MMU. Nimeamua kukuandikia huu ujumbe jukwaani badala ya kukutumia PM.. Rafiki yangu nilichokigundua ni kwamba unataka kupendwa, ndiyo maana moyo wako ni rahisi kupenda. Watu wengi huwa wanalipenda tu wazo la kupenda na...
  17. G

    Ushuhuda wa dada yangu: Ukioa mdada wa chuoni ambae kwao anaweza kurudi kirahisi tegemea kusingiziwa unamfanyia ubaya akiona majukumu ya ndoa magumu

    Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study. Mifano ipo mingi sana juu ya wanawake wasomi wa vyuoni kuwa wasumbufu kwenye ndoa ila wacha niweke kisa cha mtu naemjua kabisa wala si...
  18. W

    Nipo kwenye fadhaa ndugu zangu; nimeota nafanya mapenzi na dada yangu!

    Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu. Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu. Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
  19. Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

    Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa. Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali...
  20. Nilitembea na binti ya dada yangu bila kutegemea

    Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la. Tukasalimiana na tukabadilishana na namba. Huyu binti alikuwa anafanya kwenye spa katika hoteli kubwa hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…