Mimi ni binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo. Nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidato cha sita baada ya wazazi wangu kufariki. Baada ya kuja kwa dada iniliona tabia mbaya za shemeji, alikua hahudumii chochote, anampiga sana dada...