dada zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft...
  2. Culture Me

    Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

    https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake, Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Ipo Siku Nitakuwa wa Kwanza Kuanzisha Kampeni ya Kuwakomboa Dada Zetu Wanaojiuza: Nitafanya Hivi

    Biashara ya dada zetu kujiuza miili yao ni changamoto inayowakumba dada zetu kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa elimu, na ukosefu wa msaada wa kijamii. Katika juhudi za kuleta mabadiliko, ipo siku nitaanzisha kampeni yenye lengo la kuwaokoa na kuwapa maisha mapya. Kampeni hii...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Dada zetu wakinunuliwa Zawadi na waume zao wanasema Mahaba lakini sisi tukifanya hivyo Kwa wake zetu wanasema tumerogwa!!

    Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa) Ni mara kadhaa tunaona mashemeji wakijenga ukweni. Familia nzima itamsifia sana huyo...
  5. Rorscharch

    Mashoga (Kaka Poa) wanavunja ndoa za watu: Dada zetu inabidi mpambanie ndoa zenu

    Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga). Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa...
  6. Magical power

    Dada zetu tamaa mbele

    MKAKA: Mambo.? MDADA:- Poa MKAKA: Pandezipi? MDADA:- Dodoma MKAKA: Unasoma? MDADA:- Ndio MKAKA: Hakika nimeona picture zako vile umedamshi nimetokea kukupenda ghafla! MDADA:- Una kazi gani? MKAKA: Me Headmaster wa Igunga secondry school. MDADA:- Wao upo sahihi kweli kunipenda mie na najisikia...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Dada zetu Acheni kudanga; ama mpunguze. Hii ni too much sasa.

    Kama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia. Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe. IKO HIVI..... Huyu dada alikuwa na bwanake permanent anaye muhudumia Kila kitu inshort ni nusu Mme wake...
  8. akatiwanya

    Dada zetu acheni kugeuza chumba cha kulala kuwa choo

    Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa...
  9. Valencia_UPV

    Dada zetu na biashara Arabuni

    1. Kundi la Dada zetu (diaspora pori) wanapambana huko Arabuni. 2. Nilikua Dubai, Ile kuingia Tinder nakutana na mbongo ila nikajikausha kama sitoki Bongo. 3. Hela ngumu Sana aisee. Wacha wapambane. NB: wengi Wanakwenda na viza za miezi mitatu ikiisha anakwenda Qatar au Oman kuzuga masaa tu...
  10. GENTAMYCINE

    Dada zetu tafadhali hata kama mnapenda Kuogelea, tafadhali msiogelee Baharini mkijijua mpo Mwezini ( Period ) sawa?

    Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa. Na wataalam wa...
  11. M

    Nakemea vikali dada zetu kuruka ukuta!

    Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta. Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma. Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia'...
  12. D

    Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

    Salam sio lazima! Ndugu wanabodi, Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
  13. Expensive life

    Dada zetu mnajidanganya sana kubeba mimba ukidhani hatokuacha

    Dada zetu mtalea sana watoto peke yenu na kujipa usingo mother usio na sababu, kumbukeni kuwa kuzaa ni mipango ya watu wawili mama na baba. Sasa unakutana na binti kaanzisha tu mahusiano na mume wa mtu pasina kufikiria chochote yeye chap kwa haraka akili zinamtuma ili kumkama huyu jamaa ni...
  14. Mjanja M1

    Ugonjwa wa dada zetu

    Dada zetu huwaambii kitu kuhusu wanaume wenye miili hii ya kujengeka. Au nakosea dada zangu?
  15. A

    DOKEZO Tuwe makini na Mawakala wanaouza dada zetu wakidai wanawapeleka Uarabuni, Serikali iangalie

    Kuna tukio limetokea kwenye familia yetu hivi karibuni (Februari hii 2024), baada ya kufikiria nikaona ni vema nishee na watu ili pengine inaweza kuwa sehemu ya kuiamsha Serikali na Jamii kwa jumla juu ya kinachoendelea baadhi ya maeneo nchini. Dada yangu ni binamu hapa tumpe jina la “Bi Dada”...
  16. ChoiceVariable

    Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  17. sky soldier

    Mungu anaangalia roho sio mavazi, Makanisa muwaachie dada zetu kuwa huru kuvaa wanavyotaka, hata vipensi ni mavazi, tunachoangalia ni roho

    Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani. Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake...
  18. DR HAYA LAND

    Kwa Jinsi maisha yalivyo ni bora dada zetu wakapewa hii siri Mapema

    Kwa jinsi watoto wakike wanavyoingia broke na kupoteza thamani yao, Ni bora hii siri wakaifahamu kuwa uzuri wa nje hauna msaada wowote katika kutoboa Maisha. Wanabidi kupambana kujiziboresha akili zao na sio kuhangaika na kuuboresha Mwili na kusahau kujiboresha ghorofani. Katika Dunia ya leo...
  19. W

    Muda si mrefu dada zetu watahitaji mume zaidi ya mmoja ili angalau kukidhi haja ya tendo!!

    1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi...
  20. Pascal Ndege

    Dada zetu wengi wanapambana kuolewa na wazungu tu

    Kwa muda Sasa toka nihamie kufanya kazi katika bank Moja hapa Kariakoo. Katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja akanialika kwenye party ya vikoba ili niwashauri namna ya kuweka pesa na kupata mikopo. Sasa nilifika kwenye party Ile nikakuta waume wanne na wasichana umri wa Kati kama 50...
Back
Top Bottom