Siku ya jana Tume Huru Ya Uchaguzi ilikamilisha uboreshaji wa Daftari lake la kudumu lkatika mikoa ya Dodoma na Singida, ambapo uboreshaji katika maeneo hayo ulianza tarehe 25 Septemba 2024 na kumalizika rasmi tarehe 01 Oktoba 2024.
Zoezi hilo lilianza rasmi mwezi Julai katika mikoa ya Kigoma...