ORODHA YA ASASI ZA KIRAIA ZILIZOPATA KIBALI CHA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2024/2025
JINA LA ASASI YA KIRAIA
1. The Tunu Pinda Foundation
2. Makangarawe Youth Information and Development Centre
3. Save the Community Tanzania
4. Yiaga...
Leo kwa vile ilikuwa jumapili nilikuwa na muda nikaamua kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Nilichokiona kama ningedadisi kabla ningerudi zangu nyumbani maana huu ni ujinga na uwenda wazimu. Yaani mtu unataja jina lako na tarehe ya kuzaliwa na unasaini basi umemaliza na...
RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma.
Taarifa hiyo...
daftari la wapigakuradaftariwapigakura
dodoma
kuelekea 2025
lge 2024
rais samia
serikali za mitaa
uandikishaji daftariwapigakura
uandikishaji wa wapigakura
uchaguzi serikali mitaa
uchaguzi serikali za mitaa
uchaguzi wa serikali za mitaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.