dagaa nyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanki

    Nahitaji mtu aliyepo Zanzibar anayeuza dagaa nyama. Unamjua?

    Habari wakuu! Nimeelekezwa na mtu kwamba Zanzibar (visiwani) dagaa nyama wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa / ndoo ndogo na kuendelea. Please! Nahitaji connection ya muuzaji hao dagaa aliyeko huko visiwani. Mimi nipo Dar es salaam. Mwenye namba za huyo mtu naomba. Ahsante
Back
Top Bottom