Habari wakuu!
Nimeelekezwa na mtu kwamba Zanzibar (visiwani) dagaa nyama wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa / ndoo ndogo na kuendelea. Please! Nahitaji connection ya muuzaji hao dagaa aliyeko huko visiwani. Mimi nipo Dar es salaam. Mwenye namba za huyo mtu naomba.
Ahsante