Historia inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971.
Klabu hii ilianzishwa na wanachama waliotoka katika klabu ya Yanga kutokana na kutokubaliana na mambo fulani fulani yaliyokuwa...