Mwili wa Mfanyabiashara aliyeripotiwa kupotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, umekutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanyamala huku Uongozi wa Hospitali hiyo ukisema Ulomi afikishwa Hospitalini hapo December 11,2024 majira ya jioni akiwa ameshafariki na...
Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11...
Elizabeth Munisi ambaye ni Mke wa Mfanyabiashara aliyepotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, ameiomba Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuendelea na uchunguzi huku pia akiwasihi Wadau wa Haki za Binadamu na Watanzania wote kuendelea kupaza sauti ili...
Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024 Jijini Dar es salaam, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haihusiki na swala la kupotea kwa Mfanyabiashara huyo.
Taarifa hii ya TRA inakuja baada ya...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema December 12, 2024 katika kituo cha Polisi Chang'ombe, Temeke ilipokelewa taarifa ya kutafutwa na Familia yake Mtu aitwaye Daisle Simon Ulomi, Mfanyabiashara ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini kwake December 11, 2024.
Taarifa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limeanza kufuatilia taarifa ya kupotea kwa Daisle Simon Ulomi, mfanyabiashara ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini kwake siku ya tarehe 11 Desemba, 2024 baada ya taarifa ya kutafutwa kupokelewa katika kituo cha Polisi Chang’ombe, Temeke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.