dakawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chuo cha Ualimu Dakawa toeni hela ya BTP

    Tunaomba mtupe hela ya kujikimu. Tunakufa njaa.
  2. Rais Samia Aagiza Ujenzi wa Maegesho ya Malori na Taa Dakawa na Kibaigwa

    RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
  3. 2

    Kata ya dakawa morogoro

    Habar wanajf Napenda kufahamishwa mazingira ya hii kata ya dakawa morogoro kiutafutaji. Napanga kuhamia hapo ila si mbaya nikapata machache km vile huduma za kijamii upatikanaji wake, Binafsi nina bajaji guta ambalo ni nyenzo ya uchumi nikiwa huko. Kwa mtu aleko dakawa au ana uzoefu si vibaya...
  4. M

    Ukodishaji wa mashamba kwaajili ya kilimo Dakawa na bei zake

    Wakuu tafadhali Kama kuna mtu anajua mashamba ya kukodi kwaajili ya kilimo mwaka huu maeneo Dakawa naomba kujuzwa @whats app no 0629931610 Kama unajua kuhusu au unakodisha tafadhali wasiliana na mim kwa namba hiyo juu
  5. Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

    MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
  6. Wakulima Dakawa-Morogoro wanasumbuliwa na wafugaji, nani wa kuwasaidiaa?

    Habari za leo wanajamvi!! Wakulima wa mpunga dakawa-Morogoro, Wana kilio!! Wafugaji wanaingiza mifugo mashambani kwa jeuri, wakulima hawana cha kufanya!! Ukikamata ng'ombe upeleke polisi, mwenyewe hatokei wanasubiri giza wanawaswaga na kuondoka nao. Kuna kipindi kwa ustaarabu kabisaa walikaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…