1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote.
2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba).
3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile.
2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea.
3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima.
Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa mara ya kwanza wamekaa kileleni ikiwa imesalia mechi (1) pekee 🤔
◉ Raja 1 - 0 Wydad Casablanca.
◉...