daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Ndugai atoa hoja utaratibu kumwona daktari kwa Tsh. 10,000 ufutwe

    SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari. Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
  2. The Watchman

    Daktari aonya madada poa hatarini kuwa na MPOX

    Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa ya Iringa Amesema Makundi ya Watu waliopo hatarini kupata Ugonjwa wa Mpox Ni Madada Poa Wazee Watoto na Wasafiri na kushauri wawe makini kuweza kujikinga na ugonjwa Huu wa mpox.
  3. Moaz

    Msaada ndugu yangu anakoweza kupata tiba ya ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu

    Habari Wakuu Ninaomba msaada wa kupata daktari wa Jadi ambaye anaweza kumsaidia ndg yangu ambaye kwasasa ni kama amekata tamaa kabisa kutokana na kuhangaika pasina kufanikiwa. Historia yake fupi. Amefanikiwa kuoa mke ambaye kabla ya mafanikio walikuwa na upendo tu mzuri na maelewano na hivo...
  4. Yoda

    Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

    Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea. Maisha...
  5. S

    Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
  6. Mindyou

    Hii elimu ya kwamba ukipiga mswaki hutakiwa kusukutuwa kwanini hatukufundishwa darasani?

    Wakuu, Vitu kama hivi vinapaswa viwe vinafundishwa darasani, kuna namna mitaala yetu inabidi ibadilishwe kabisa
  7. Father of All

    Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  8. BigTall

    DOKEZO Unguja: Wagonjwa tunakosa Haki ya Faragha wakati wa kuonana na Daktari katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, tunawekwa chumba kimoja

    Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu na ninaamini inasumbua watu wengi pia. Nimekuwa nikifika kituoni hapo kupata huduma ya Ugonjwa wa...
  9. Mohamed Ismail

    Heri ya kuzaliwa Daktari Emmanuel Nchimbi

    Anaadika Mo Mlimwengu. Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza na usione vyaelea ujue vyaundwa. Huwa ni nadra sana kupata viongozi washupavu kariba ya Dr Nchimbi. CCM inajivunia uwepo wake kwenye chama kama injini . Ni miongoni mwa watu ambao walipikwa wakapikika na wakaokwa tangu UVCCM na leo...
  10. Zanzibar-ASP

    Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
  11. JembeNaNyundo

    Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
  12. Father of All

    Kwanini Mwalimu Nyerere, pamoja kupewa PhD 23, tuzo lukuki, usomi na weledi vyake hakuwahi wala kupenda kuitwa daktari? Je, aliogopa au hakujua?

    Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake. Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari. Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili...
  13. MUWHWELA

    Daktari anatibu nini kama hajajisoma yeye na tamaduni zake?

    Nawasalimu ndugu zangu! Nimejiwazisha tu kwa sauti. NJOO NA MAWAZO YAKO KAMA MENGINE HUKUBALIANI NAYO. I stand to be corrected Daktari ANATIBU nini kama mwenyewe na jamii yake HAJAJISOMA? why nimewaza hivi.. Kuna mahala pakubwa sana sisi kama waarifka tumekuwa corrupted 100% na mifumo ya...
  14. Yoda

    Kama kucha zako zimevimbiana hivi (clubbed) wahi haraka kumuona daktari, unaweza kuzima muda wowote.

    Kuna wataalamu wa afya wanasema kucha za vidole vya mkono zikiwa zimevimbiana hivi(clubbed) ujue wewe ni sawa mfu anayesubiriwa kufukiwa wakati wowote. Kwamba kimojwapo, kadhaa au vyote kati ya Moyo, mapafu, figo au ini viko taabani.
  15. JanguKamaJangu

    Daktari: Gachagua alikuwa na maumivu ya kifua, anaendelea vizuri

    KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo vingine. Amesema “Gachagua alifika Saa Tisa Alasiri, alisema alikuwa na maumivu makali kifuani...
  16. kikoozi

    Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

    Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD). Karibuni
  17. B

    Haichukui nafasi ya Daktari

    HAICHUKUI NAFASI YA DAKTARI usizidishe message juu ya message ambayo haijajibiwa especially ya mpenzi usilete unyonge - Haichukui nafasi ya daktari usitume na ya kutolea kama Kila siku anakupiga kalenda -Haichukui nafasi ya daktari mara moja moja kunywa bia mbili kalale - Haichukui nafasi...
  18. comte

    Dodoma: Mashabiki wa Simba na Yanga, wakausanya fedha kwa ajili ya kumzawadia kiwanja daktari anayewahudumia

    Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja. Hali hii imejithiirisha katika kijiji cha Ngomai, kata ya Ngomai wilayani Kongwa, ambapo mashabiki wa Simba na Yanga, wameamua kutumia utani kukusanya fedha kwa ajili ya...
  19. Black Butterfly

    Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

    Update (Agosti 21, 2024) Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa binti ambaye ni mkazi wa Yombo Dar es salaam, imeendelea kusikilizwa leo Agosti 21,2024, ikiwa ni...
  20. Big Dy

    Daktari wa magonjwa wa akili

    Habari za wakati huu wanajamvi, Rejea heading hapo juu nina ndugu yangu wa karibu kabisa naona tunaelekea kumpoteza siku si nyingi kutokana na stress ama msongo wa mawazo alikokua nao mpka kupelekea kukosana kabisa na ndugu zake. Naulizia kwa hapa Dar es salaam ni sehem gani ninawea pata...
Back
Top Bottom