Kumekuwa na tabia ya Daladala nyingi zinazofanya safari za Kilombero - Kiseriani kuwa na tabia ya kukatisha ruti kuanzia majira ya Saa 1 Usiku na kusababisha abiria kupata adha ya usafiri wakati wa usiku kwani nusu nzima za Haisi huanza kuishia Moshono Kona.
Hali hiyo husabanisha abiria wengine...