Habari wakuu!
Jiji la Mbeya ni moja ya miji unayokuwa kwa kasi sana, hongereni wana Mbeya ila shida ni dala dala kushindwa kufika mwisho wa safari.
Hapa namaanisha kufaurisha abiria kisa wamepungia kwenye gari.
Hii ni kero sana nimeona kwangu.
Bado kuna shida kubwa sana ya madereva wa daladala kugeuzia njiani na kufaulisha abiria kwenye gari nyingine.
Imekuwa kero na usumbufu mkubwa sana hasa kwa daladala zinazotokea Mipango kuelekea Mjini. Serikali husika itusaidie kuweka askari kwenye vituo mbalimbali maana kufaulisha abiria sio...