daladala kukatisha ruti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO LATRA Pwani na Dar mpo wapi? Daladala zinakatisha ruti Mbezi-Mlandizi zinaishia Njuweni MailiMoja!

    Ujumbe huu uwafikie LATRA Pwani na Dar es Salaam nakala kwa wadau wote Serikali, Wasafiri, Wamiliki na UWAMADAR Kwa ,uda mrefu sasa kumekuwa na Tabia ya Daladala zinazokwenda nje ya Dar es Salaam kutokea Kituo cha Mbezi Mwisho zenye ruti Mbezi-Mlandzi, Mbezi-Msata, Mbezi-Kwala na Mbezi-Mzenga...
  2. M

    KERO Daladala za Kilombero - Kiseriani (Arusha) hukatisha ruti kuanzia Saa 1 Usiku na kusababisha usumbufu kwa abiria

    Kumekuwa na tabia ya Daladala nyingi zinazofanya safari za Kilombero - Kiseriani kuwa na tabia ya kukatisha ruti kuanzia majira ya Saa 1 Usiku na kusababisha abiria kupata adha ya usafiri wakati wa usiku kwani nusu nzima za Haisi huanza kuishia Moshono Kona. Hali hiyo husabanisha abiria wengine...
  3. Mwanongwa

    KERO LATRA tumsaidie hili la Daladala kukatisha ruti Mbeya

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala. Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa kuishia Mwanjelwa badala ya kufika Stand Kuu. Ukiachana na hizo daladala za Nsalaga Kuna hizi za kutoka...
  4. A

    KERO Daladala Dodoma zinarubuni abiria kuhusu ruti na kutelekeza abiria

    Leo asubuhi eneo la Nyerere square baada ya konda na dereva kutudanganya kuwa watapitia General Hospital. Huyo dada hapo pembeni na kaka wagonjwa, mimi nilikuwa naelekea Majengo na konda akaanza kunitishia kunipiga na dereva nae akaanza kuwa mkali. Baada ya kuongea na dereva wa gari...
Back
Top Bottom