Ujumbe huu uwafikie LATRA Pwani na Dar es Salaam nakala kwa wadau wote Serikali, Wasafiri, Wamiliki na UWAMADAR
Kwa ,uda mrefu sasa kumekuwa na Tabia ya Daladala zinazokwenda nje ya Dar es Salaam kutokea Kituo cha Mbezi Mwisho zenye ruti Mbezi-Mlandzi, Mbezi-Msata, Mbezi-Kwala na Mbezi-Mzenga...