Wakuu,
Kuna jambo nimejiuliza siku nyingi sana kuhusu maneno “City Bus” yanayoonekana kwenye daladala nyingi za Dar es Salaam. Font ya haya maneno yanafanana katika daladala zote na hili ndilo lililonifanya nijiulize kama hii font kuna mtu mwenye hakimiliki yake maana imekuwa kama ndiyo...