Kumekuwa na changamoto wakati wa kuhuisha leseni za LATRA Kwa waliopata mwaka 2023 ikidaiwa kuwa tumepewa kimakosa, huku tukifanya kazi kwa takribani miaka 2, Mwaka wa tatu huu unaambiwa umepewa kimakosa, Je, LATRA imewatendea haki wamiliki na Abiria wanaosafiri/kufanya shughuli katika njia hii...