Ila nimecheka sana kumbe dalali mdogo ni mikwara na hamna kitu
Dada wa Taifa anasema akiona fedha anatetemeka na kupata kigugumizi ila watu wa lile kabila linalotoka chini ya ule mlima mrefu huwaga mnazingua sana
Yaani dalali wewe kweli ni wakutetemeka na kupata kigugumizi ukiona fedha sasa...