dalili za homa ya nyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Hii Homa ya nyani(Monkey Pox) inaleta vibes za Corona

    Huu ugonjwa wa home ya nyani ni kama vile unakuja na vibe la Corona, taarifa za kusambaa wagonjwa zinaongezeka kidogo kidogo kila siku, mamlaka zote duniani inabidi zichukue hatua za haraka na kwa ushirikiano tusije kuingia kwenye mambo ya lockdowns tena. Soma Pia: Homa ya nyani (Monkeypox)...
Back
Top Bottom