Humu jukwaani Kuna madaktari,manesi,wakunga, wataalamu wa tiba mbadala,na wabobezi wa masuala ya afya,hivyo
Uzi huu ni maalumu kwa wale wote wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali
Una ndugu yako ameugua kwa muda mrefu,huoni solution waambie wataalamu wa afya watakusaidia.
Kwa upande wangu...
Habari madaktari wetu!
Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes)
Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki. Je ni kweli?
au akikazana na dawa atakuwa sawa tena.
Vijana kuweni makini Ukimwi upo kwa hakika, kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.