Wakuu kwema?
Kipi kimejificha kwa hili kabila la kihaya! Kila mmoja wao akifikisha kuanzia miaka 30 tayari anakuwa na upaa.
Shida itakuwa Nini wakuu.
Merry Christmas.
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya Rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam kutokana na mvua nyingi.
Frankly nilitamani kujua mengi zaidi kwenye hili. Kwa waliopo karibu na eneo la...
wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank...
Kuna mahala nimesikia kuwa mlevi huyumba yumba kwa kuwa kasi ya mzunguko wa damu yake huwa kubwa. Hii ni kwa sababu pombe hiyo husababisha mabadiliko hayo
Je, ni kweli kuwa hali ya mlevi kuyumba yumba husababishwa na ongezeko la kasi ya msukumo wa damu? Na sio pombe kuathiri mishipa ya fahamu?
As the crisis over Ethiopia’s controversial dam on the Nile River worsens, Egypt considers expediting the construction of the Stiegler’s Gorge dam on the Rufiji River in Tanzania.
Egyptian girls stand in line at a water cistern to fill their containers with clean water at al-Rahawe village...
JOHANNESBURG – The United Nations has called it one of Africa's biggest remaining wilderness areas. Now a dispute over a planned hydropower dam in Tanzania's Selous wildlife reserve pits the country's president against conservationists who say the project could cause irreparable damage to the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.