damascus

  1. M

    Damascus: Shambulizi la anga la Israel lasababisha tetemeko la aridhi nchini Syria

    Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800. Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo. Jeshi la...
  2. R

    Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

    Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake. Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!! Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje? Yaani, familia...
  3. M

    Damascus: Urusi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Syria kwa msaada wa Uturuki

    Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
  4. Ritz

    Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

    Wanaukumbi. Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus. Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia...
  5. econonist

    Wananchi wa Syria wavamia ubalozi wa Iran, Damascus na kuharibu mali

    Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu. Source: Aljazeera
  6. State Propaganda

    SI KWELI Inasemakana ndege aliyokuwa amepanda Bashal Al Assad tokeka Damascus imedunguliwa

    Dakika chache baada ya ndege hiyo kupotea katika rada, hichi ndicho walichoposti jeshi Israel katika ukurasa wao wa X.
  7. E

    Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

    Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!! Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left. It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram. People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's...
  8. M

    Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

    Habari za hivi punde zinadai,Wapiganaji wa HTS ambao wanasadikika kuungwa mkono na nchi ya Uturuki, wameuzingira mji wa nne kwa ukubwa nchini Syria wa HAMA kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Mji huo upo umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa Damascus. Ikumbukwe kuwa, Wiki iliyopita...
  9. U

    Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
Back
Top Bottom