dampo hatari kwa afya ya wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Hili Dampo katika Shule ya Msingi Oysterbay (Manyara) ni hatari kwa Afya, liondolewe

    Wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Oysterbay, iliyopo Wilaya ya Babati Mkoa Manyara wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu kutokana uchafu uliozagaa pembezoni mwa Shule hiyo. Mimi ni mkazi wa Jirani na shule hiyo, kuna Dampo kubwa lililojaa uchafu na kutokana na upepo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…