Habari za wakati huu wanajukwaa.
Kipindi cha miezi kadhaa iliyopita mwaka huu, Mimi kama mkazi wa hili eneo, niliandika hapa juu ya Dampo ambalo siyo rasmi lililoanzishwa na Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu katikati ya makazi yetu.
Dampo hili ambalo lipo mtaa wa Kidinda, Halmashauri...