Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza kusababisha kutokea kwa magojwa ya Mlipuko.
Hili Dampo limekuwa ni kero sana, taka zinazagaa barabarani na...