Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu
Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara.
Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida.
Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua gani ikifikia inabidi kwenda kumuona Daktari?.
Habari za muda wandugu na poleni kwa majukumu ya kila siku, nikiwa kama ndugu rafiki au jamaa pengine yaweza kuwa msaada kwa ndugu yangu huyu.
Matatizo ya kutokwa na damu puani hutokea tu punde amalizapo kula nyama sana sana ya ng"ombe! Hospital amehudhuria mara kadhaa bila mafanikio dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.