Tumekamata mwizi tukaanza kukung'unta, piga mwizi mpaka akapandisha mapepo!. tukajua anatania tukaendelea kupiga tu! wacha mapepo ya mwizi yacharuke zaidi!, yakagoma hayasikii chochote ukirusha jiwe linadakwa linarudishwa!.
mshale unakwepwa tukaona hii ishakuwa serious mapepo yakawa yanaongea...