Viwanda vya kusafisha mafuta ( oil refineries) vya barani Ulaya vimeanza kuonja joto la jiwe baada ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kuanza kufanya kazi.
Kiwanda hicho cha Dangote ambacho ni miongoni mwa viwanda vikubwa zaidi vya kusafisha mafuta duniani kimesababisha viwanda vya...