daniel mkinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu

    Wakuu, Baada ya jana kukamatwa kwa Mwenyekiti wa NETO, leo zimeibuka taarifa kwamba Katibu wa Jumuiua hiyo amekamtwa na Jeshi La Polisi. Kupitia mtandao wa X, NETO waliandika kwamba: Katibu NETO Bw. Daniel Edger Mkinga amekamatiwa Kibaha Miembe Saba nyumbani kwake majira ya usiku wa saa tatu...
Back
Top Bottom