SERIKALI KUANZA MAHOJIANO RASMI NA WAKIMBIZI - NAIBU WAZIRI DANIEL SILLO
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza mahojiano ya kina na wakimbizi wa Burundi wanaoishi nchini ifikapo 2025. Mahojiano yatashirikisha wadau mbalimbali, ikiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amezitaka Idara mbili zilizopo chini ya Wizara yake ambazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera kushirikiana ili kuboresha utendaji kazi.
Kauli hiyo ameitoa Wilayani Muleba Mkoani Kagera...
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amefanya Mkutano wa hadhara katika Vijiji vya Endakiso na Arri na kusikiliza kero mbalimbali za Wananchi ikiwa ni Mkutano wake wa 93 kati ya Vijiji 102 kwenye kata 25 za Jimbo la Babati...
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Baran Sillo ametoa magunia 10 ya Mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya...
Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.