daraja bovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    DOKEZO Daraja la Mbwemkuru-Lindi linamaliza malori na watu, Serikali fanyeni jambo

    Mimi sio mwandishi mzuri ila kwa kweli inasikitisha sana nimepita mara kadhaa daraja hili lililopo mkoani Lindi barabara kuu ya Dar-Lindi, linamaliza ndugu zetu wa malori. Ukitokea Lindi ni km 70, kuna mteremko sio mkali sana ila una kona kidogo, chini ya mteremko huo ndio kuna daraja ambalo...
  2. A

    KERO Daraja bovu Kilindi kijiji cha Kwekivu

    Hili daraja lipo Kilindi, katika kijiji cha Matale na Kwekivu. Daraja hili ni bovu limearibiwa na mvua na mamlaka zipo kimya halijakarabatiwa kabisa na ni adha kwa watumiaji wa njia hii
  3. P

    Kuna maeneo nchini miaka nenda rudi miundombinu ni mibovu, mamlaka hazioni? Mpaka maafa yatokee ndio wachukue hatua?

    Kuna maeneo nchini yana miundombinu mobuvu miaka na miaka lakini serikali wala haichukui hatua. Unakuta barabara mbovu, madaraja yamebomoka nk, lakini ni kama hakuna anayeoona! Ni kwamba wanasubiri maafa yatokee ndio wachukue hatua? Wanasubiri mpaka watu wafe ndio wachukulie malalamiko ya...
Back
Top Bottom