Wakuu
Baada ya kivuko eneo la Busisi kuzingua na kushindwa kutoa huduma, watu wamevunja geti la Daraja la Magufuli, kisha kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo kama video inavyoonesha.
Soma, Pia: Vivuko vya Kigongo-Busisi havifanyi kazi leo. Daraja lifunguliwe kwa dharura kuruhusu magari
DC ASEMA...
Hili ni wazo tu kwa serikali yangu kuhusu daraja la busisi kwanza nipongeze serikali pili naomba hili daraja liwe la kulipia ila isiwe hela nyingi kiwekwe kiwango kiasi kama kuchangia maendeleo ya serikali yetu Ila iwe kwa magari tu baskeli pikipiki na waenda kwa miguu iwe bureeeeee
Mfano gari...
Salaam.
Leo nimepata safari ya kuja kigongo Busisi aiseee ukiwa dar es salaam huwezi elewa umuhimu wa hili daraja.
Magufuli aliona mbali sana na alipenda maisha ya watu wa chini yawe na nafuu ndio maana miradi yake mingi ililenga watu wa hadhi ya chini kama Stendi (stend za mabus nchi hii...
Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini.
Lakini makusanyo kwa mwezi ni kati ya trilioni 1.2 - 1.3 kwa mwezi. Hivyo fedha hazitoshi kuendelea na miradi yote...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yuko katika siku ya 2 ya ziara yake Jijini mwanza ambapo leo tarehe 14 Juni, 2021 atakagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja la JPM (Kigongo -Busisi), utafungua Mradi wa Maji Misungwi na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) (Mwanza - Isaka).
Tutapeana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.