SERIKALI KUJENGA DARAJA LA KALEBE NA KYANYABASA – BUKOBA VIJIJINI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inakamilisha taratibu za kuanza ujenzi wa Madaraja makubwa mawili ya Kalebe katika barabara ya Kyaka – Katoro – Kyetema na Daraja la Kyanyabasa katika Mto Ngono ili...