daraja la kigamboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scaramanga

    NSSF rekebisheni daraja la Kigamboni

    Pamoja na kuwa tuna kilio kwa serikali kutuondolea malipo ya kuvuka daraja la Kigamboni, niwapongeze NSSF kwa kujaribu kuweka urataribu wa kulipa malipo ya awali kabla ya huduma ya kuvuka na kuweka njia maalum gate namba 5 litumike. Mwanzo utaratibu huu ulipoanza kiukweli ulileta tija kwa...
  2. A

    KERO Changamoto za watembea kwa miguu kuvuka daraja la Kigamboni

    Habari za usiku wakubwa. Naomba Tanroads kwa kushirikiana na NSSF waangalie namna nzuri kwa wakazi wa darajani wakati wa kuvuka barabara kwenda upande wa pili baada ya kushuka kwenye daladala. Kama umetembelea daraja la kigamboni au ni mkazi wa darajani utakuwa unalifahamu ili swala. Hakuna...
  3. Mjanja M1

    Tutajuaje kwamba Mkopo wa Daraja la Kigamboni umeisha?

    Au ndio serikali iteaendelea kututoza malipo kupita Kwenye Daraja hilo bila ya ukomo?
  4. K

    Ni wakati wa Daraja la Kigamboni kupitika bure, bila kulipia

    Kutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri vipite bila tozo zozote ili kurahisisha huduma za usafiri. Kwa tabu ambayo wanachi wanapata sasa...
  5. Replica

    Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

    Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki. Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
  6. HIMARS

    Rais Samia: Vya bure hakuna, tozo daraja la Kigamboni zitaendelea na nyingine za barabara zinakuja

    Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp. Kivuko cha Kigamboni...
  7. chiembe

    Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

    Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni. Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
  8. peno hasegawa

    Daraja la Kigamboni lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo utamalizika lini?

    Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
  9. Makonyeza

    Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni

    Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni: Sina pa kusemea, ukurasa wangu hapa facebook ndio kipaza Sauti changu. Anyways, Sikuwa na matarajio mkubwa kwake kwa kuwa Sina Imani na kikundi cha watu(chama) kilichomweka kwenye nafasi hiyo, kwa mantiki hiyo pia Sishangazwi na jinsi anavyotupuuza wana...
  10. C

    Mtoza ushuru kanipiga elfu 5 Daraja la Kigamboni

    ...
  11. Miss Zomboko

    Ndugulile: Tozo za Daraja la Kigamboni zipunguzwe kurahisisha maisha

    Wananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere. Ni mkombozi mkubwa. Changamoto ni tozo. Daladala moja inatozwa Sh5,000 ikienda mara kumi kwenda na kurudi ni Sh100,000 kwa siku. Hapo hajaweka mafuta, hajaweka hela ya tajiri-@DocFaustine “Nakuomba sana Rais twende...
Back
Top Bottom