*Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu
*Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo
Na MWANDISHI WETU,
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
TEMESA wamesema kivuko cha MV Magogoni kilipata hitilafu leo asubuhi, 2, Juni 2022 hivyo abiria watumie njia mbadala ambayo ni Daraja lal Nyerere.
TEMESA inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na utaojitokeza wakati huu wanapoendelea na matengezo ya kivuko hicho.
Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha.
Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF.
Ndugulile ameyasema haya leo...
Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.