*Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu
*Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo
Na MWANDISHI WETU,
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...